KITUO CHA UPANDAKIZAJI MIMBA CHAZINDULIWA DAR ES SALAAM

Na. WAF – DAR ES SALAAM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema  Kituo cha Huduma za Upandikizaji Mimba Kairuki Green IVF, Bunju  kitatatua changamoto ya Watanzania kwenda nje ya nchi kwa gharama kubwa kufata huduma hizo. Dkt. Mwinyi amebainisha hayo February 06 2023 Jijini Dar es Salaam